Wednesday, January 30, 2008

 
 
 
 

Nimefurahishwa sana na matumizi makubwa ya pikipiki katika mji huu. Hata kama una gari utajitahidi tu kusafirisha mizigo kwa kutumia tuk-tuk.

Kule Songea naona walikuwa wanaelekea kuwa kama hawa kwani yeboyebo zao zilivoma sana.

Pengine ni umasikini unaosababisha haya yote, ila ni bora zaidi kama usafiri huu utakuwa salama, sheria za barabarani zikaheshimiwa na wao wakalindwa.
Posted by Picasa

1 comment:

Grace said...

hiyo nzuri nimeipenda, nahani na huku kwe2 hiyo technologia ingefika